Yahoo Canada Web Search

Search results

  1. Mar 13, 2023 · Tanzania Religious figures Tanganyika 85% Pagan/ Non Religious/ Atheist 7.4% Christian 5.2% Islam 1.5% Hinduism 0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions Zanzibar 84% Islam 9% Christianity 5% Hinduism 2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist

  2. Apr 20, 2013 · Sep 3, 2013. 28. 7. Mar 6, 2014. #6. Karma ni matokeo ya matendo ya mtu aliyokuwa anayafanya...yanaweza kuwa mazuri au mabaya...kama vile malipo ya uliyokuwa unafanya...kama ulifanya mambo mabaya, utalipwa ubaya na kinyume chake.

  3. Jun 11, 2011 · Ni msemo unaoaminika hasa katika imani za Mashariki kama vile Hinduism na Buddhism. Kila mwanadamu ana Karma yake, Karma inapaswa kuwa safi kwa kutenda mema, kuwaza mema na kisema mema. Kila hali imetokana na Karma fulani, inaweza ikawa sio yako au ikawa ya mwenzio ambayo ikakuadhiri na wewe kutokana na muunganiko wa Karma zenu.

  4. Apr 29, 2023 · Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.

  5. Sep 11, 2024 · Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sio wengi wanajua kitu kinachoitwa karma ni nini, kwa sababu karma ni neno la lugha ya kihindi (Hindu) na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu karma wakati nikiishi jiji la New Delhi nchini India.

  6. May 10, 2012 · Well kama Ndyo, Niko Familia na Dini karibu zote Christian, Hinduism, Islam ,Judaism, Agnostic, Ignostics , Atheism, Sumerian mystery or any You name it.. Hakuna sehemu Nimeomba Kuthibitishiwa Kuwa Mungu Yupo (unachanganya Mafaili). Nilichoomba ni kitu kidogo tu ushahidi Usio na shaka Kuwa Gharika Ilitokea na Waliopona Ni wachache Dunia nzima..

  7. Jan 3, 2017 · Wakati nikiishi nchini India kwa kipindi fulani, nilitumia fursa hiyo kujifunza kidogo imani za dini za wenzetu, hivyo nikajifunza kidogo Hinduism, na Buddhism, hizi dini mbili ukiangalia zimeanza lini ukizilinganisha na Ukristu na Uislamu ulianza lini, ndipo utagundua ni kama kumlinganisha Tembo na sisimizi, Ukristu na Uislamu ni dini za jana tuu ukilinganisha na Hinduism na Budhism.

  8. Jul 17, 2023 · 6,684. 14,001. Dec 2, 2023. #1. Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

  9. Feb 4, 2009 · 1. Maumbile ya Ubongo na tabia za kurithi. Maumbile ya ubongo wa binadamu mfano kunapokuwa na shida au hitilafu hasa mishipa inayounganisha sehemu za ubongo. Yaani eneo la ubongo linaloitwa “Amygdale” linalohusika na hisia ikiwemo hasira. Na sehemu ya ubongo wa mbele yaani katika paji la uso (Front Brain).

  10. Feb 23, 2012 · Kuna mbinu mbili ambazo tulipata kusimuliwa ma mababu. Ya kwanza tuliambiwa ili kujikinga na wachawi, chukua mkaa wa moto ambao umekolea moto pande zote na ni mwekundu hasa na uudumbukize kwenye maji. Ukiudumbukiza kwenye maji utasikia mlio 'chaaa', yaani hapo maji yanazima ule moto na moto unajaribu kuyapasha maji lakini moto ndiyo huishia ...

  1. People also search for